Form Six · ACSEE 2026

UNAFUZU KOZI GANI?

Weka namba yako ya mtihani. Tutakuonyesha kozi unazofuzu, zile zinazokufaa zaidi, na kwa nini nyingine bado hazikufai.Enter your ACSEE index number to check it against published TCU and NACTVET entry requirements.

Namba ya shule na ya mtahiniwa, mfano S0123/0505. Inatumika kutafuta matokeo yako tu na haiwekwi kwenye link.

  1. 01

    WEKA NAMBA

    Namba ya mtihani wa ACSEE 2026, mfano S0123/0505.

  2. 02

    TUNAKAGUA MASHARTI

    Matokeo yako yanalinganishwa na masharti ya TCU na NACTVET kwa kila kozi.

  3. 03

    UNAONA KWA NINI

    Kila kozi inaonyesha sharti lililokidhiwa (✓) na lililokosekana (✗).